![]() |
Mshambuliaji wa Coastal Union ya Tanga, Atupele Green akiatoka mabeki wa Seeb Club ya Oman katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Seeb, Muscat, Oman, Timu hizo zilitoka 0-0. |
![]() |
Mshambuliaji Mganda wa Coastal, Yayo Lutimba aigombea mpira na beki wa Seeb
|
![]() |
Beki wa Coastal akikabiliana na mshambuliaji wa Seeb
|
![]() |
Mshambuliaji wa Coastal, Haruna Moshi 'Boban' akiwageuza wachezaji wa Seeb baada ya kurejea nyuma kusaidia ulinzi
|
![]() |
Kiungo wa Seeb akItaabika na mpira pembeni ya Yayo Lutimba
|
![]() |
Kiungo Mkenya wa Coastal akimtoka kiungo wa Seeb
|
![]() |
Yayo Lutimba wa Coastal akimilik mpira mbele ya mabeki wa Seeb
|
![]() |
Boban akifanya yake katikati ya wachezaji wa Seeb
|
![]() |
Mshambuliaji Mtanzania, Elias Maguri aliye kwenye majaribio Seeb akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Coastal
|
![]() |
Kikosi cha Seeb, Elias Maguri wa kwanza kulia walioinama
|
![]() |
Kikosi cha Coastal leo
|
0 comments:
Post a Comment