• HABARI MPYA

    Saturday, January 18, 2014

    RONALDO KUWANUNULIA GARI JIPYAAAA MADAKTARI REAL MADRID...NI FURAHA YA BALLON D'OR

    NI kazi ngumu kuwa mchua misuli wa Cristiano Ronaldo, lakini wakati mwingine inalipa. 
    Mchezaji huyo ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia, FIFA Ballon d’Or amewaahidi madaktari wa Madrid kuwanunulia gari mpya baada ya kushinda tuzo hiyo wiki hii.
    Katika mahojiano ya hivi karibuni na Sportsmail, kocha wa Real Madrid, Paul Clement amezungumzia mambo ambayo Ronaldo atayafanya atakaporejea kutoka kwenye mechi za katikati ya wiki za Ligi ya Mabingwa.
    Wote wanatabasamu: Cristiano Ronaldo amewaahidi madaktari wa Real Madrid kuwanunulia gari mpya baada ya kushinda Ballon d'Or
    Emotional: Ronaldo was so overwhelmed by the trophy that he broke down in tears at the awards
    Ronaldo alimwaga machozi wakati anapokea tuzo hiyo. Kulia ni Pele.
    Putting the work in: Madrid's assistant coach Paul Clement (left) revealed the attention to detail Ronaldo shows
    Kocha Msaidizi wa Madrid, Paul Clement (kushoto) akiwa na Zidane

    Ronaldo anatambua na kuheshimu sana mchango wa madaktari wake na wakati wote amekuwa mkweli wa ahadi kwao na awali amekwishawahi kuwazawadia saa mpya na simu aina ya iPhones toleo jipya. 
    All in! Ronaldo was pictured having a massage with the Madrid medical team last month
    Wote kazini! Ronaldo alipigwa picha akifanyiwa massage na timu nzima ya madaktari wa Madrid mwezi uliopita
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO KUWANUNULIA GARI JIPYAAAA MADAKTARI REAL MADRID...NI FURAHA YA BALLON D'OR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top