IDDI KAJUNA ANAOMBA UJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI SIMBA SC
Mgombea Ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Iddi Kajuna akizungumza na wanachama wa tawi la Kigamboni jana wakati wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo Juni 29, mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment