Kiungo mpya mshambuliaji wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mohammed Bhinda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam mchana wa leo, tayari kuanza kazi Jangwani.
0 comments:
Post a Comment