MKE WA VICTOR COSTA ANAOMBA UJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI SIMBA SC
Mgombea Ujumbe wa Kamati ya Utendaji Simba SC, Jasmine ambaye ni mke wa beki wa zamani wa klabu hiyo, Victor Costa akizungumza na wanachama wa tawi la Kigamboni jana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Juni 29, mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment