![]()  | 
| Aveva katikati akizungumza, kulia ni Mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Hassan Daalal na kushoto ni mfadhili wa klabu hiyo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Poppe | 
![]()  | 
| Wanachama wa Simba SC wakimsikiliza Aveva | 
![]()  | 
| Babu huyu akimsikiliza kwa makini Aveva wakati akimwaga sera zake | 
![]()  | 
| Akina mama nao hawakubaki nyuma | 
![]()  | 
| Aveva akisikiliza maoni, maswali na ushauri wa wanachama wa Temeke | 
![]()  | 
| Kutoka kulia Daalal, Aveva na Geoffrey Nyange 'Kaburu' mgombea Umakamu wa Urais | 
![]()  | 
| Hans Poppe, Kaburu na Aveva | 
![]()  | 
| Mwenyekiti wa Chama cha Soka Temeke (TEFA), Peter Mhinzi akimuombea kura Aveva kwa wanachama hao | 
![]()  | 
| Mikono juu, wanachama wakionyesha ishara watamoa kura Aveva | 
![]()  | 
| Aveva akisalimiana na mwanachama mlemavu wa Simba SC baada ya kampeni zake | 













.png)
0 comments:
Post a Comment