![]()  | 
| Mgombea Urais wa Simba SC, Evans Eliaza Aveva kulia akisalimiana na wanachama wa tawi la Kigamboni, Dar es Salaam jana alipowatembelea kwa ajili ya kampeni | 
![]()  | 
| Aveva na wanachama Kigamboni jana | 
![]()  | 
| Kulia ni Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Hassan Daalal akiongozana na Aveva | 
![]()  | 
| Wanachama wakimsikilizaa Aveva | 
![]()  | 
| Sera za mgombea zinapofurahisha wanachama, huchekelea | 
![]()  | 
| Mzee Daalal akimuombea kura Aveva | 
![]()  | 
| Aveva akizungumza na wanachama | 
![]()  | 
| Aveva akiagana na wanachama baada ya kumaliza kuzungumza nao | 










.png)
0 comments:
Post a Comment