UTANI MWINGINE HAUFAI, WAINGEREZA WATAKOMA MWAKA HUU!
Picha ya kutengeneza ikionyesha bango kama la kwenye kaburi, limeandikwa RIP kifupi cha Rest In Peace, yaani pumzika kwa amani, kejeli zinazoelekezwa kwa timu ya taifa ya England baada ya kutolewa mapema katika Kombe la Dunia, kufuatia Italia kufungwa 1-0 na Costa Rica katika mchezo wa Kundi D.
0 comments:
Post a Comment