Mwanzo > Untagged NEYMAR NA SCOLARI WE ACHA TU! NEYMAR NA SCOLARI WE ACHA TU! Furaha ya ushindi: Nyota wa Brazil, Neymar akiwa amemuegemea kocha wake, Luiz Felipe Scolari baada ya kuitoa Chile kwa mbinde kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 katika mchezo wa 16 Kombe la Dunia na kutinga Robo Fainali. Sunday, June 29, 2014
0 comments:
Post a Comment