Mwanzo > Untagged ALGERIA YAFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA ALGERIA YAFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA Wachezaji wa Algeria wakishangilia baada ya sare ya 1-1 na Urusi iliyowawezesha kutinga hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia nchini Brazil kutoka Kundi H. Algeria imeungana na Ubelgiji kufuzu kutoka kundi hilo na sasa itamenyana na Ujerumani. Friday, June 27, 2014
0 comments:
Post a Comment