Mwanzo > HABARI ZA AFRIKA > DRC SARE TASA NA CAPE VERDE AFCON HABARI ZA AFRIKA DRC SARE TASA NA CAPE VERDE AFCON Yannick Bolasie wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Carlos Calu Lima wa Cape Verde kulia wakati wa mchezo wa Kundi B Kombe la Mataifa ya Afrika Uwanja wa Nuevo Ebebiyin usiku huu. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana. Friday, January 23, 2015 HABARI ZA AFRIKA
0 comments:
Post a Comment