• HABARI MPYA

    Sunday, May 17, 2015

    EVANDER HOLYFIELD AMSHNDA KWA TKO RAIS WA MAREKANI

    BINGWA mara tano wa zamani wa ngumi za uzito wa juu duniani, Evander Holyfield amemshinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya pili mgombea urais wa zamani wa chama cha Republican, Mitt Romney katika pambano la ngumi la hisani usiku wa kuamkia leo Salt Lake City.
    Romney, mwenye umri wa miaka 68, na Holyfield, mwenye umri wa miaka 52, walipambanan kwa raundi mbili jana, kabla ya Romney kukimbia ulingoni na kurusha taulo.
    Wawili hao hawakuwahi kutupiana ngumi za maana zaidi ya kurukaruka na kuzunguka ulingo huku wakigusana gusana kwa ngumi nyepsi. Zaidi lilikuwa pambano kichekesho.
    The former US presidential candidate manages to land a rare punch on the five-time heavyweight champion
    Evander Hollyfield (kushoto) na mgombea Urais wa zamani wa Marekani ulingoni jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EVANDER HOLYFIELD AMSHNDA KWA TKO RAIS WA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top