Kipa wa Arsenal, Petr Cech (kulia) akizungumza na mchezaji mwenzake Mikel Arteta baada ya kujifunga kipindi cha kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa The Hawtorns dhidi ya wenyeji West Bromwich Albion. WBA imeshinda 2-1, bao lake lingine likifungwa na James Morrison, wakati la Arsenal limefungwa na Olivier Giroud PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment