'WAZEE WA 7-0' KUREJEA NYUMBANI KESHO NA MAUMIVU YAO
Kikosi cha timua ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kilichofungwa mabao 7-0 usiku wa leo na wenyeji Algeria mjini Blida katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia. Taifa Stars inatarajiwa kuondoka mjini hapa kesho (Jumatano) asubuhi na itafika Dar es Salaam Alfajiri ya Alhamisi.
0 comments:
Post a Comment