Kipa wa Arsenal, Petr Cech akiwa amedaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Norwich, Lewis Grabban katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Carrow Road.Timu hizo zimetoka 1-1, bao la Arsenal likifungwa na Mesut Ozil dakika ya 30, huku la Norwich likifungwa na Grabban dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment