Nahodha wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic akiifungia timu yake bao la pili kwa mpira wa adhabu katika sare ya 2-2 na wenyeji Denmark leo. Ibrahimovic amefunga mabao yote ya Sweden ambayo imeshinda kwa jumla ya 4-3 baada ya ushindi wa 2-1 awali hivyo kufuzu Euro 2016 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment