![]() |
| Ivo akiwa amedaka mpira mazoezini Coco Beach leo asubuhi |
![]() |
| Kocha Muingereza, Stewart John Hall (kulia) akiwaongoza wachezaji wake mazoezini leo asubuhi |
![]() |
| Kiungo Frank Domayo (mbele) akijifua kwa bidii leo asubuhi ufukwe wa Coco |
![]() |
| Beki David Mwantika akiruka vihunzi katika mazoezi hayo leo asubuhi |
![]() |
| Kiungo Kipre Michael Balou akijifua na wenzake asubuhi ya leo ufukwe wa Coco |
![]() |
| Beki Said Mourad akifanya mazoezi kwa bidii kujiweka fiti kabla ya mechi na Simba SC |
![]() |
| Wachezaji wa Azam FC wakinywa maji baada ya kumaliza mazoezi yao asubuhi ya leo Coco Beach |










.png)
0 comments:
Post a Comment