Kevin De Bruyne (kulia) akishangilia na wachezaji wenzake Raheem Sterling (katikati) na Sergio Aguero baada ya kuifungia Manchester City katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Southampton Uwanja wa Etihad jioni ya leo mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yamefungwa na Fabian Delph na Aleksandar Kolarov, wakati la Southampton limefungwa na Shane Long. City inarejea kileleni mwa Ligi Kuu, ingawa inaweza kushuka baada ya mchezo kati ya Leicester City na Manchester United unaoendelea sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment