IBRAHIMOVIC AIFUNGIA BAO LA USHINDI SWEDEN IKIIPIGA 2-1 DENMARK
Mshambuliaji wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kuifungia bao la pili timu yake kwa penalti dhidi ya Denmark katika mchezo wa mchujo kuwania tiketi ya Euro 2016 usiku huu. Sweden ilishinda 2-1, bao lingine akifunga Emil Forsberg wakati la Denmark lilifungwa na Nicolai JorgensenPICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment