Mshambuliaji wa Somalia (kushoto) akimtoka beki wa Tanzania Bara, Mohammed Hussein 'Tshabalala' katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge jioni ya leo Uwanja wa Taifa wa Addis Ababa, Ethiopia. Bara imeshinda 4-0.
0 comments:
Post a Comment