Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi akiongea na waandishi (hawapo pichani) wakati wa tukio la kumuaga kwa ajili ya kwenda kurekodi video ya muziki na kupata mafunzo toka kwa mwanamuziki wa kimataifa Akon nchini Marekani. hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika katika makao makuu ya ofisi ya Airtel Morocco jijini Dar Es Salaam. Katikati ni Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde, akifatiwa na Mwalimu wa sauti Tony Joet.
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment