Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiifungia bao la pili timu hiyo katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Camo Nou. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Neymar mawili na Messi moja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment