NGASSA ALIVYOWASILI KAMBI YA TAIFA STARS JO'BURG LEO
Mshambuliaji wa Free State Stars ya Bethelehem, Afrika Kusini akiwasili katika kambi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars hoteli ya Holiday Inn eneo la Woodmead, Johannesburg, Afrika Kusini leo. Taifa Stars imeweka kambi hapo kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018
0 comments:
Post a Comment