Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Kelechi Iheanacho akiifungia Manchester City bao la kusawazisha dakika ya 55 katika sare ya 1-1 na Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Etihad. Bao la Southampton lilifungwa na Nathan Redmond dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment