Sergio Aguero akiteleza kibabe kushangilia bao lake 149 kwenye mashindano yote Manchester City jioni ya leo katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji West Bromwich Albion Uwanja wa The Hawthorns kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Aguero alifunga mawili na mawili mengine yakifungwa na Ilkay Gundogan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment