Bondia Mfilipino, Manny Pacquiao akiwa na gwiji wa filamu za kibabe Marekani, Sylvester Stallone maarufu kama Rambo au 'Bondia Rocky' mjini Las Vegas, Marekani. Pacquiao yupo katika maandilizi ya mwisho na pambano na Jessie Vargas Novemba 5 mjini Las Vegas uzito wa Welter na mwishoni mwa wiki alitembelewa na Rambo katika gym ya Wild Card mjini Hollywood PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
54 minutes ago
0 comments:
Post a Comment