Wachezaji wa Chelsea wakisherehekea ushindi wa 4-0 dhidi ya Manchester United, timu ya kocha wao wa zamani, Jose Mourinho leo katika Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya kwanza, Gary Cahill dakika ya 21, Eden Hazard dakika ya 62 na N'Golo Kante dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
43 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment