Mshambuliaji wa Leicester City, Ahmed Musa akigalagazana na kipa wa Tottenham Hotspur, Hugo Lloris kuifungia bao la kusawazisha timu yake katika sare ya 1-1 kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu ya England. Bao la Spurs lilifungwa na Vincent Janssen kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Robert Huth PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment