Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili katika ushindi wa 4-1 ugenini dhidi ya Alaves Uwanja wa Mendizorroza, Vitoria-Gasteiz kwenye La Liga. Ronaldo alifunga mabao matatu, moja kwa penalti na pia akakosa penalti moja wakati bao lingine la Real lilifungwa na Alvaro Morata na la Alaves lilifungwa na Acosta Deyverson PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment