Daniel Sturridge akishangilia kwa staili yake maarufu baada ya kufunga mabao yote ya Liverpool katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa 16 Bora ya Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa Anfield. Bao la Spurs lilifungwa na Vincent Janssen kwa penalti zikiwa zimebaki dakika 14 baada ya Erik Lamela kuangushwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
43 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment