Wachezaji wa Simba SC wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kwa ajili ya safari Mwanza kwenda kuunganisha usafiri wa barabara kwenda Shinyanga kucheza na Mwadui FC mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Kambarage
0 comments:
Post a Comment