Roberto Firmino (kulia) akishangilia na Philippe Coutinho na Sadio Mane baada ya kuifungia Liverpool bao la nne katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Selhurst Park, London. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Emre Can, Dejan Lovren na Joel Matip wakati ya Palace yalifungwa na James McArthur yote PICHA AZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment