Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu akifanya mazoezi ufukweni eneo la Msasani, Dar es Salaam. Ulimwengu ni mchezaji huru kwa sasa baada ya kumaliza Mkataba wake TP Mazembe wiki iliyoita na anashughulikia mpango wa kwenda Ulaya
0 comments:
Post a Comment