Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akimpa pasi ya kichwa mchezaji mwenzake, Simon Msuva (kushoto) mbele ya beki Mghana wa Mbao FC, Asante Kwesi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0
Amissi Tambwe akimzunguka Asante Kwesi jana Uwanja wa Uhuru
Beki wa Mbao FC, Steve Mganya (kushoto) akimdhibiti winga wa Yanga, Simon Msuva
Kiungo wa Yanga, Mbuyu Twite akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Mbao FC
Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali akiwatoka wachezaji wa Mbao
Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm akiwa kazini jana
Simon Msuva wa Yanga akiwania mpira dhidi ya kipa wa Mbao, Emmanuel Mseja na beki Steve Kigocha (kushoto)
Amissi Tambwe akimiliki mpira mbele ya beki wa Mbao FC
0 comments:
Post a Comment