Basi la wachezaji wa Real Madrid likipita katikati ya msitu wa mashabiki wa timu hiyo waliojitokeza mjini Madrid jana kuwalaki mashujaa wao wakirejea kutoka Cardiff, Wales ambako Jumamosi waliifunga Juventus ya Italia mabao 4-1 na kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili mfululizo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monday, June 05, 2017
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment