Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Neymar akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Napoli, Marek Hamisk na Jose Callejon katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjii Napoli. Timu hizo zilifungana 1-1, PSG wakitangulia kwa bao la Juan Bernat dakika ya 45 na ushei, kabla ya Lorenzo Insigne kuisawazishia Napoli kwa penalti dakika ya 62, kufuatia Jose Callejon kuchezewa rafu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Anambra guber: Entertainers unite in Awka for Soludo’s second term bid
-
From Aloysius Attah, Onitsha Over 500 Master of Ceremonies (MCs) and
comedians from all 21 local government areas of Anambra State have declared
their su...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment