Wachezaji wa Ureno, Rui Patricio na Jose Fonte wakishangilia baada ya sare ya 0-0 na Italia kwenye mchezo wa kundi la tatu Ligi ya Mataifa Ulaya ambao ilimkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo usiku wa jana uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan, hivyo kufuzu nusu fainali ya michuano hiyo, ikifikisha pointi saba baada ya kucheza mechi tatu, ikifuatiwa na Italia pointi tano na Poland pointi moja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment