ZAMOYONI MOGELLA ENZI ZAKE YANGA SC ALIKUWA MOTO KAMA HIVI
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Zamoyoni Kondo Mogella aliyevuma kwa majina ya utani ya Golden Boy na DHL akimtoka beki wa Small Simba ya Zanzibar katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1992 Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Small Simba ilishinda 2-1
0 comments:
Post a Comment