Mshambuliaji wa Benfica, Haris Seferovic akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Uswisi hat-trick katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Ubelgiji jana Uwanja wa Swissporarena mjini Luzern kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya. Seferovic alifunga dakika za 31, 44 na 84, wakati mabao mengine ya Uswisi yamefungwa na Ricardo Rodriguez kwa penalti dakika ya 26 na Nico Elvedi dakika ya 62, wakati mabao ya Ubelgiji yamefungwa na Thorgan Hazard yote dakika za pili na 17 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
15 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment