Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric akijaribu kuutelezea mpira kuurejesha uwanjani leo katika mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Eibar 3-0 Uwanja wa Manispaa ya Ipurua. Eibar imeshinda 3-0 mabao yake yakifungwa na Gonzalo Escalante dakika ya 16, Sergi Enrich dakika ya 52 na Kike dakika ya 57 huo mchezo wa kwanza timu hiyo inapoteza chini ya kocha mpya, Santiago Solari PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
                      -
                    
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible 
last-16 game away from Wembley.
30 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment