BEKI MUIVORY COAST, ZANA COULIBALY OUMAR ALIPOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA LEO TAYARI KUSAJILIWA SIMBA SC
Daktari bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), George Longopa akimfanyia vipimo vya afya ya moyo (ECHO Cardiogram) beki Coulibaly Zana Oumar kutoka Ivory Coast kuelekea kukamilisha usajili wake Simba SC
Coulibaly Zana Oumar akiwa na muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Dk. George Longopa akiangalia majibu ya vipimo vya afya Coulibaly Zana Oumar
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment