Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Chile bao la tatu dakika ya 61 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Honduras usiku wa jana Uwanja wa Manispaaa ya Bicentenario German Becker mjini Temuco. Mabao mengine ya Chile yalifungwa na Arturo Vidal dakika ya nane na 35 kwa penalti na Nicolas Castillo kwa penalti pia dakika ya 84, wakati la Honduras lilifungwa na Alexander Lopez dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Starmer turns to Gordon Brown to save faltering premiership
-
Sir Keir Starmer has brought Labour heavyweights Gordon Brown and Harriet
Harman back into government in an attempt to shore up his premiership.
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment