Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Arsenal dakika ya 67 ikiilaza AFC Bournemouth 2-1 jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na Jefferson Lerma aliyejifunga dakika ya 30 na la Bournemouth limefungwa na Joshua King dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment