Mtokea benchi kipindi cha pili, Quincy Promes akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi bao la tatu dakika ya 114 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya England usiku wa Jumatano katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa Dom Afonso Henriques mjini Guimaraes. England ilitangulia kwa bao la penalti la Marcus Rashford dakika ya 32 baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Matthijs de Ligt. Uholanzi ikazinduka kwa mabao ya Matthijs de Ligt dakika ya 73, Kyle Walker aliyejifunga dakika ya 97 baada ya kazi nzuri ya Promes aliyefunga bao la tatu. Sasa Uholanzi itakutana na Ureno katika fainali Juni 9, siku ambayo England itamenyana na Uswisi katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NASCAR driver's victory celebration goes horribly wrong as budding star,
19, is rushed to the hospital
-
NASCAR driver Connor Zilisch was trying to hoist himself onto the top of
his Chevrolet in Watkins Glen, New York on Saturday after winning the
Series Missi...
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment