Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kuisaidia timu hiyo baada ya kurejea kutoka Misri kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ambako walitolewa kwenye Raundi ya kwanza tu kufuatia kushika mkia kwenye kundi lao, C kutokana na kufungwa mechi zote tatu, 2-0 na Senegal, 3-2 na Kenya na 3-0 na Algeria.
Mido's mission to export Egyptian talent to Europe
-
Former Egypt striker Mido, no stranger to controversy in his playing
career, is aiming to unearth the next generation of talent in Cairo.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment