MTIBWA SUGAR WAWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAGONJWA HOSPITALINI MOROGORO KABLA YA KUANZA KWA LIGI KUU JUMAPILI
KIPA wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed Nduda akimfariji mgionjwa jana walitembelea hospitali mbili, Turiani, Bwagala na Mtibwa kwa ajili ya kuwapa pole na kuwafariji wagonjwa ikiwa ni pamoja kuwapelekea baadhi ya mahitaji muhimu.
Mtibwa Sugar watacheza mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani Jumapili, Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro
Item Reviewed: MTIBWA SUGAR WAWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAGONJWA HOSPITALINI MOROGORO KABLA YA KUANZA KWA LIGI KUU JUMAPILI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment