MKUU WA MKOA WA ARUSHA AWATEMBELEA NGORONGORO HEROES KUELEKEA MICHUANO YA CECAFA U-20
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta (Katikati), leo ametembelea Kambi ya timu ya taifa U20 “Ngorongoro Heroes” iliyopo Karatu, Ngorongoro Heroes ipo Kituo cha Karatu kwenye mashindano ya CECAFA U20 yanayotarajia kuanza Novemba 22-Desemba 2, 2020.
0 comments:
Post a Comment