BODI YA LIGI YAUFUNGULIWA UWANJA WA JAMHURI WA DODOMA BAADA YA KUJIRIDHISHA SASA UPO SAFI
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeufungulia Uwanja wa Jamhuri uliopo Jijini Dodoma, kuendelea kutumika kwa mechi za Ligi Kuu ya Tanzania Bara kuanzia jana Novemba 18, 2020.
0 comments:
Post a Comment