YANGA SC YAMSIMAMISHA KAIMU KATIBU MKUU WAKE, WAKILI MSOMI KWA TUHUMA ZISIZOJULIKANA
KLABU ya Yanga SC imemsimamisha Kaimu Katibu Mkuu wake, Wakili Simon Patrick, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama kwa muda usiojulikana na kwa tuhuma ambazo hazijawekwa wazi.
0 comments:
Post a Comment