Nahodha wa Uholanzi, Georginio Wijnaldum akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la ushindi dakika ya 84 ikiwalaza wenyeji, Poland kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana huko Chorzow. Kamil Jozwiak alianza kuifungia Poland dakika ya tano, kabla ya Memphis Depay kuisawazishia Uholanzi kwa penalti dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
15 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment